Ni Tanzania pekee ambapo mtu ataquestion au kudoubt habari ambayo source yake ni Social Media. Wana journalism wanaelewa kabisa kuwa kwasasa dunia ina Media 3 tu: Print Media, Radio & TV Media na...
Wakuu
Leo redio ebony FM ya mjini iringa Wakati wakitangaza kipindi chao(sikijui jina ila kinahusu habari kinakuwa hewani saa 11 jioni).
Walikua wakitangaza kuhusiana na majibizano yaliyotokea...
Jana usiku nimetoa taadhari kwenye moja ya taasisi za umma juu ya Global Cyberattack - Uvamizi wa kutisha wa udukuzi wa mifumo ya kompyuta - uliotokea jana nikiwataka wachukue hatua za haraka...
Habari za J3 wapendwa
Mimi ninapenda sana kula ugali, ninaweza kula chakula hiki siku saba za juma mradi tu nibadilishe kitoweo. Kuna wanaume nikiwaeleza mapenzi yangu kwa ugali wananiona...
Wadau!
Mi ninavyo ona hawa watoto wetu tunawachosha mapema sana pasipo kujuwa Kwa hizi sirabasi.
Kuna haja gani mtoto ambaye kafanya paper one na two! Bado apewe tena paper three? Kwanini somo...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida iliyotokea mapema hii leo jijini Dar es salaam kwa kitendo cha cha aliyekuwa Naibu Waziri Wizara ya Fedha katika utawala wa awamu ya nne. Adam Malima kutishiwa...
Dogo kapgiwa Simu leo mchana na no. 0002550234678893! Alimpigia akamtambulisha ni Afisa utumishi Mahakama Kuu ya mkoa fulani akimuuliza we ndo fulani? Akasema ndiyo mimi, hivi check no yako ni...
Wapendwa,
Naomba msaada wenu,
Kuhusu barabara za mitaani zinazounganisha barabara kuu mbili za TANROADS. Je inabidi ziwe na upana kiasi gani? Nauliza hivyo kwa ajili ya kufanya ujenzi ambapo...
Hii imeripotiwa kutoka Mara. Alimdanganya Mwajiri wake (Afisa Tawala Mkoa ) kwa cheti kisichokuwa chake,akapata ajira . Mahakama imethibitisha jana bila shaka na kumtia hatiani.
Chanzo:RFA 26.04.2017
Njoo apa tuelezane uteuzi uliokukuna, kukufurahisha na kuupenda ata kama sasa hivi imekua tofauti na ulivotegemea...
Mimi naanza n auteuzi wa Dr. Lyoba mkurugenzi wa tbc,..
MKAZI wa kijiji cha Chipu, Kata ya Kasense, Manispaa ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, Kasiano Ntalasha (80), aliyejijengea umaarufu mkubwa na kuogopeka ndani na nje ya mkoa, ikiwemo nchi jirani ya...
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao.
1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo...
Yaliyojiri hospitali ya Temeke, jana Jumatatu, may 8;
Mtoto wa miaka 14 alikua amepoteza fahamu kutokana na jeraha kichwani, na alitakiwa kupelekwa hospitali ya rufaa Muhimbili.
Uongozi wa...
Unakuta mtu ana mtaji wa ml. 3 jumla anadanga dangaanyaa anaonekana ana mzunguko mzuri na mtaji ni mkubwa, wanampa 10 ml.
Rejesho la pili la tatu tu chaaali
Kuna watu wengi hasa vijana na wamama...
Imechukua miaka mingi sana baada ya Radio free ya Mwanza kua radio bora kutoka mkoani na kufanya vizuri ndani ya Dar
Miaka ni Mingi sasa Ebony FM toka Iringa imekua radio number moja kwa upande...
Taarifa ya kuwapo kwa mti uliodaiwa kulia machozi ya damu wakati ukikatwa zimekanushwa na Meneja wa TANROADS mkoani hapa.
Meneja huyo wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Marwa Rubirya...