Nesi ahukumiwa kifungo miaka 3 jela kwa kugushi cheti cha F. 4

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
4,005
3,643
Hii imeripotiwa kutoka Mara. Alimdanganya Mwajiri wake (Afisa Tawala Mkoa ) kwa cheti kisichokuwa chake,akapata ajira . Mahakama imethibitisha jana bila shaka na kumtia hatiani.
Chanzo:RFA 26.04.2017
 
Wakikamatwa feki wote bila kujali wako wapi, nadhani ni wengi sana, itabidi tuombe magereza nje ya nchi.
Tatizo zamani wengi walifaulu lakini hawakuchaguliwa, wao nao wakaamua kujiongeza...
 
uzi huu nilijua bashite .basi acha nipite nikusubiri vyeti feki
 
Si wamesema vyeti sio ishu bali utendaji! Refer Bashite, kama huyu Nesi alikuwa vizuri kazini aachwe apige kazi. Kwani yeye na Bashite nani mwenye cheo kikubwa!
 
Hii imeripotiwa kutoka Mara. Alimdanganya Mwajiri wake (Afisa Tawala Mkoa ) kwa cheti kisichokuwa chake,akapata ajira . Mahakama imethibitisha jana bila shaka na kumtia hatiani.
Chanzo:RFA 26.04.2017
Wengine wanahukumiwa wengine bado wapo uraiani sawa yana mwisho wazi
 
Hii inatwa kunya anye kuku akinya bata kaharisha! Wala shishangai kwa wengine kifikishwa kwa pilato wakati wengine wakilindwa na askari kwa kosa hilo hilo moja
Kilichotokea mkutano wa Cuf juzi kinasadifu kuwa shambi mbaya ni ile iliyotendwa na walala hoi hohe hae kama mie bila ikitendwa na mkubwaaa shurti ilembwe na kuonekana ni ya kawaida sana
 
Daah! Only ina Tanzania, pale kiongozi hana cheti lakin wahusika wanalinyamazia kama halionekani wakati wanaliona, ila mpiga kura maskini (aliyewaweka hao viongozi pale walipo) anahukumiwa!

Ee Mwenyezi Mungu kihurumie kizazi hiki cha Nyoka.
 
Bashite yeye haguswi
12821e03a0f8d54eed2f47b0c144b7cf.jpg
 
Back
Top Bottom