Mi nilifurahia uteuzi wa Ndalichako nikajua ni bonge la straika,ila kwa hali inavyokwenda nimeamua kutoka uwanjani dakika ya 37 kwa kuwa sioni dalili yoyote ya goli naona danadana tu.
Mi wa Paulo Makonda, kijana aliyejulishwa uteuzi kabla na akainyoosha DSM, akadiliki kuyataja mabwia unga na kuyashughulikia, yakapiga kelele mpaka makoo na sura zikaharibika. Akapongezwa hadharani akichapa kazi, akayaumiza mapiga dili kwa kukodolea vyeti vyake. Safi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.