Ebony FM 106.9 radio bora zaidi kutoka mkoani baada ya RFA

cosa nostra

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
1,773
1,805
Imechukua miaka mingi sana baada ya Radio free ya Mwanza kua radio bora kutoka mkoani na kufanya vizuri ndani ya Dar

Miaka ni Mingi sasa Ebony FM toka Iringa imekua radio number moja kwa upande ya nyanda za juu kusini na sasa imeingia Dar kwa kishindo sana

Baada ya RFA Ebony FM ndio redio pekee yenye mpangilio mzuri wa vipindi kutoka mkoani na frequency zake zina nguvu ndani ya Dar es salaam frequency 106.9

Big up Ebony Fm ongezeni nguvu katika mikoa mingine
 
Ulinganisho wako umechukua radio stations ngapi manake radio za mikoani zinazopatikana Dar Es Salaam hazizidi tano-RFA,Kiss FM,Abood FM,Radio 5,na Ebony fm
 
Ukweli Mtupu,inatoa upinzani Mkubwa sana kwa radio za Dar binafsi huwa Nasikiliza hata Abood ni redio bora
 
Back
Top Bottom