Biobenga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 394
- 533
Yaliyojiri hospitali ya Temeke, jana Jumatatu, may 8;
Mtoto wa miaka 14 alikua amepoteza fahamu kutokana na jeraha kichwani, na alitakiwa kupelekwa hospitali ya rufaa Muhimbili.
Uongozi wa hospitali ukadai ambulance haiwezi kupeleka mgonjwa mmoja mpaka wapatikane wengine wafike watatu. Toka saa saba mchana mpaka majira ya saa moja usiku mtoto anafariki ambulance ilikua inasubiri wagonjwa wengine.
Watanzania wenzangu huu ndio utaratibu kwenye hospitali za serikali?
Hili ni swala la kukemea kwa nguvu zote na halitakiwi kutokea tena.