Enyi Wakopaji; msidanganye mtaji na mzunguko wa biashara mnapokwenda kukopa itawagharimu

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,465
Unakuta mtu ana mtaji wa ml. 3 jumla anadanga dangaanyaa anaonekana ana mzunguko mzuri na mtaji ni mkubwa, wanampa 10 ml.
Rejesho la pili la tatu tu chaaali
Kuna watu wengi hasa vijana na wamama wameingia kwenye huu udanganyifu na kujikuta wakiingiza familia kwenye matatizo ya madeni
Kuweni wangalifu, msidanganye mitaji wala mzunguko wa biashara zenu
Mtaumia wenyewe
 
Back
Top Bottom