Hawa hawataguswa kamwe na kadhia ya vyeti japo vyeti wanavyotumia sio vyao

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,322
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao.

1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo, Hamna Hayo Mambo ya Ukaguzi.

2.Wanaotumia Vyeti Vya Watu Ambao Kwa Sasa ni Marehemu.

3.Ongezea...
 
wanasiasa/wafanyakazi wasio kuwa watumishi wa umma kama ilivyo semwa japo ki sheria mmmmh!!!
 
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao.

1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo, Hamna Hayo Mambo ya Ukaguzi.

2.Wanaotumia Vyeti Vya Watu Ambao Kwa Sasa ni Marehemu.

3.Ongezea...
Mwana wa mfalme anaingia wapi kati ya hayo makundi? au ndo namba iyo 3?
 
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao.

1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo, Hamna Hayo Mambo ya Ukaguzi.

2.Wanaotumia Vyeti Vya Watu Ambao Kwa Sasa ni Marehemu.

3.Ongezea...

Bashite
 
3. Waliosajili Vyeti vya Sekondari vya Nje ya Nchi

4. Waliokabidhi loss report na kusema Vyeti vilipotea na wakacheza Dili na Watu wa Masijala kuchomoa kwny Files Vyeti walivyotumia ambavyo ni feki

5. Wanasiasa Kama Bashite bin Magumashi
hiyo namba 4 mkuu watakwenda na maji tu,kusema kilipotea siyo hoja hoja ni namba ya cheti Baraza kila kitu kipo kweupeee
 
Majungu kama wewe ulifoji utatumbuliwa tu iweje wewe usome umpe mtu mwingine chet akafanye kazi siupunguani huo na wewe ubakie huna kazi ulisoma iliiweje sasa?
 
Watu Hawa Kamwe Hawataguswa na Zoezi la Uhakiki wa Vyeti Feki Unaoendelea. Japo Vyeti Wanavyotumia sio Vyao.

1.Wanaotumia Vyeti vya Watu Wengine Waliojiajiriwa Sekta Binafsi. Kule Mwendomdundo, Hamna Hayo Mambo ya Ukaguzi.

2.Wanaotumia Vyeti Vya Watu Ambao Kwa Sasa ni Marehemu.

3.Ongezea...
Wanaotumia vyeti vya watu ambao sio waajiriwa sekta yoyote ile.
 
Waliosoma nje sekondari ili watambulike nchini, lazima vyeti vyao visajiliwe na NECTA.

Acha Uongo !

Hiyo ni level ya Chuo Kikuu na usajili hufanyika TCU!
Mmoja wa Watoto wangu kamaliza Budo Secondary Uganda na kajiunga Chuo cha Liti Morogoro na Dsm na sasa ni Afisa Mifugo Mkoa mmoja wapo na hakuhakiki popote Vyeti vya Sekondari
 
Back
Top Bottom