mtafiti05
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 956
- 593
Dogo kapgiwa Simu leo mchana na no. 0002550234678893! Alimpigia akamtambulisha ni Afisa utumishi Mahakama Kuu ya mkoa fulani akimuuliza we ndo fulani? Akasema ndiyo mimi, hivi check no yako ni ipi?
Akamjibu mimi sikupata check no.(alisitishiwa ajira June 2016) akiwa hajapata check no. Akaambiwa sawa nimekuelewa, Simu ikakatwa, akajaribu kumgia rafiki yake kuulza kama na yeye kapigiwa kuulizwa check no. Akajibiwa hajapigiwa.
Kaniuliza swali je ni sahihi kumpa check no Afisa utumishi katika maswala ya kuweka sawa mambo ya kiutumishi? Je hiyo pia ni namba sahihi au watu(matapeli) wapo kazini?
Mimi binafsi sikuitambua no.kwa haraka na ishu ya kumpa Afisa utumishi check no sijaielewa vizuri, walio na uelewa huo toeni msaada.