Kwanini mtu anayetukana matusi haoni aibu ila nyie wengine ndio mnaona aibu?

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
649
Wañasaikolojia nsaidieni kwa nini jitu linaweza liwe linatukana halioñi aibu ila nyie wengine ndio mnaona aibu?
 
Akili yako na mawazo vinahama saa unatukana ndio maana huoni aibu ila baada ya kutulia ukikumbuka ndio unajishtukia
 
Yea hiyo inaweza kusababishwa na pale mtu anapohisi kama ndo yey anatamka yale matus...na kama ni aliyezoea matuc pia hawez kuona aibu
 
Inasikitisha sana...

Anayetukana inawezekana yupo kwenye hasira, jazba, mzuka, au matatizo...pale akili inakuwa na tendo moja tu, kutumiza kinachokikusudia...

Kwa walio kuwa kwenye utauliza wa akili na hisia ndiyo huona aibu...


Ni kama vile watu wakifikia kupigana, hata wakiachana uchi wanaona sawa bila aibu... Ila watazamaji ndiyo watakuwa wanaona aibu...



Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom