Wozah wozah piga kelele kwa halotel

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
18,716
28,623
Aisee halotel kiboko nimewakubali watu wangu wa halotel ni kiboko juu shida kwa mastory ya hapa town masela

Halotel mmetisha achen tigo na voda wajikongoje tena watasubili sana kwa kas hii kas

Jaman sh mia tano 500 unapata dakika 60 halotel kwa halotel, dakika 5 mitandao yote na mb 550 halotel ni nyoko ni sumu ni bamba to bamba

Nawasilisha
 
Acha kudanganya umma.
Hao halotel nao wamekua kama tigo tu.
500 unapata mb 120
1000 unapata mb 300
Enzi hizo halotel hawakua hivi.

Hizo dkk na MB ni kwa mteja mpya tu.
 
bila shaka wewe ni wakala wa halotel labda unataka kuuza line za chuo.. sio mbaya lakini biashara matangazo..

Keep it up
 
Halotel ni wezi balaa wa salio kwenye simu na Mb, nilichogundua kama unataka ku download file kubwa, mchana speed ipo vizuri, usiku speed ni ndogo sana.
 
Kume kuwa na thread nyingi za mitandao siku hizi muwe mna kumbuka kulipia matangazo yenu
 
Acha kudanganya umma.
Hao halotel nao wamekua kama tigo tu.
500 unapata mb 120
1000 unapata mb 300
Enzi hizo halotel hawakua hivi.

Hizo dkk na MB ni kwa mteja mpya tu.
Aisee kama una halotel nunua vocha ya jero uchekishie mambo
 
Back
Top Bottom