Angry Bird
JF-Expert Member
- May 3, 2016
- 514
- 487
Ndio maana nikafurahi sikuzaliwa huko. Angepika basi. Mauaji mdomoni kwa mlaji.Tamaduni za watu hizo usishangae sana.
mkuu lakini ungezaliwa huko ungeona kitu cha kawaidaNdio maana nikafurahi sikuzaliwa huko. Angepika basi. Mauaji mdomoni kwa mlaji.
Huwezi ukalinganisha kula mlenda na kula madudu yakitembea.Kuna uwezekano na wewe wakikuona unavokula mlenda wakakushangaa!
mkuu lakini ungezaliwa huko ungeona kitu cha kawaida
Hawakukuuma mdomo?kaa watamu sana pale mediterano wanawapika vizuri sana nilikula hapo siku moja na sponsor wangu wa korea acha kabisa
poa mkuuRoboti mambo VP?
Kwani nimewanyima kula?Duuu kila sehemu na taratibu zake,kuwa mpole
Wao wana kula hivyo ingalao vina proteins, lakini ona hapo cjini wanachokuletea wewe na vizazi vyako.Mungu baba wa mbinguni nakushukuru sana sikuzaliwa china ama south east Asia. Chakula gani tena hiki sasa? Hivi kweli mmekosa kitu cha kula mnakula madudu yakitembea?
Mungu baba wa mbinguni nakushukuru sana sikuzaliwa china ama south east Asia. Chakula gani tena hiki sasa? Hivi kweli mmekosa kitu cha kula mnakula madudu yakitembea?
hawakuwa wabichiHawakukuuma mdomo?
Hawajapikwa au wamepikwa siwezi kula.hawakuwa wabichi