Serikali kutoajiri walimu wa sanaa imetuumiza sana tuliosomea fani hiyo

indundidotcom

JF-Expert Member
Mar 4, 2017
231
226
Habarini za sasa hizi ndugu zangu nadhan hamjambo na tabasamu feki tena za kujilazimishaaa
Waungwana Mimi ni mwana art mwenzenu ambaye nimemaliza chuo mwaka 2015...

Nilipambana kweli kufika hapa na maisha yalivyomagum but mwisho wa siku ndo nlitrgemea kwa namna moja au nyingine kuwa mwalimu...
Rais wangu nlimpa kura tena kwa mbwembwe haswaaaaa but sikujua ndo kiama cha elim yangu....
Mtasema nijiajiri je unafaham ada niliitoa WAP....
Private sector wanavyoringa now usiseme
Any way n muda wa wanaart waliopo shulen kujitathimin maana mi wengine tunahis labda tuna mkosi na huu utawala
Nahic rais amesahauu kuwa alidai ajira zpo
Maisha yapo yanaendelea na 2020 sio mbali
Jkt tunanyimwa nafac na cjui wanatuhis ss n wakimbiz au wahamiaji haram!!!?
Maisha yapo wallah tutakomoana tu hata kwa hasra
Ila nimkumbushe rais kuwa ajira na njaa ndo mwanzo wa mapinduzi

Nimfahamishe tu kuwa magufuli ndo rais wa kwanza kuua ajira za vijana tanzania
Nimkumbushe kuwa kaz ztafanyika kama anavyotaka ila aandae sero za kutosha maana ... Au madarasa yageuzwe magereza
 
Kweli kbsa hii nchi kuna watu watajiona wana Nuksi, Ndo tatzo la madereva wa malori
 
Pole sana mkuu
Unapompa pole fikiria pia vyuoni hakuna walimu pekee; kuna BBA, BPA, Community Development, Tourism, Accountancy, Cooperative Management, Fine Art, Sociology, History, Archeology na wengine weengi ambao hawakuwa na kinga ya ajira toka zamani.
Wewe unapokuja unalialia kwamba raisi kakunyima ajira, sisi tuliosomea program hizo nyingine hatuna haki??
Au wewe mwalimu na madaktari mnajiona bora sana kuliko Waliosoma Maendeleo ya Jamii??
Kama unadhani watu wote wanaweza kupata ajira za kuajiriwa miaka yote basi endelea kuangalia siri za familia na mdogo wako.
Mimi binafsi namshukuru Magufuli kwa kuzuia ajira, kwani hakika hakuna shule nzuri kama shida.
Amin Amin nakwambia, wasomi kurudi mtaani na kuwa machinga na wakulima ni mwanzo wa maendeleo.
 
sawa
 
ndio matatizo ya kukariri si kila njia aliyopita mzazi lzm na mtoto apite!
viongozi wetu wanatakiwa wawe na upembuzi yakinifu kila mtu anatakiwa awe na uhuru wa kuchagua lkn hata kama wanawekea kipaumbele sayansi lzm watafute namna si hii yasasa.
huko mbeleni tena watakuja wagutuke ajira za sayansi zimekuwa chache watu wengi!

kwanza kwa kufanya hivyo wameidharau sanaa! nakuona si kitu sijui wakowapi manguli wa sanaa kutetea pendo lao!.
sijui nini maana ya uhuru ktk jambo hili ambalo haliendi kinyume na katiba!

Hivi ukiwa kiongozi ni lzm watu wote tuishi ktk pendekezo lako..?
nahisi hili linasadiki u-diktekta!
 
Back
Top Bottom