Mwenye nia na malengo ya kujikwamua na ugumu wa maisha haya

lastfadh

Member
Jul 26, 2013
26
2
Habar Ninaitwa Faraji Aboubakary Fadhili. kijana (ME) 24

Kuna mambo nimekuwa ninawaza, kama kijana nina ndoto na malengo kwa mustakabali wa maisha yangu nina miaka 24 lakini najiona kama nimechelewa...

Kielimu nimemaliza Diploma ya Afya ya wanyama na uzalishaji (Diploma in animal health and production) mwaka jana mwezi wa nane

Kama mjuayo ajira ni shidaa sanaa na umri unakwenda...

Lengo la maelezo hayo ndugu Ninatafuta kijana mwenzangu
Mwenye niaa na malengo ya dhat juu ya kujikwamua na ugumu wa maisha pasina kusubir ajira ambazo hata zikitoka uhakika wa kupata ni Mdogo ukizingatiaa wahitaji ni wengi..........

Napendelea awe Dsm, Awe na nia na malengo makubwa(hata ikiwa ni zaidi yammoja), nina hakika tukikaa na kujadili tu
tatoka na wazo zuri na kwa pamoja! Hata Kama tukianza na mtaji mdogo Sanaa kwa Shida ninaamini Baada ya Muda mambo yatakuwa mazuri matunda yatapatikana kikubwa Uvumilivu, Msimamo na kusimama ktk misingi.......

Ninapokeaa ushauli na mawazo piaa Maulizo
Whatsapp/call 0673002509

Nawasilisha
 
Nafikiri ungepata mtu mzuri zaidi kama ungeangalia kwenye makundi yafuatayo na watu uliwazoea kwa mfano:

- Nyumba ya ibada, unaposali.
- Classmates wako/college mates.
- Mtaani unapokaa.

Kupata mtu maeneo kama haya humjui kabisa waweza kuwa dissapointent ....

Pole na changamoto ndugu.
 
Shukran sana kwa ushaur nimekuelewa
 
tafuta watu/vijana ambao tayari unawajua either uliosoma nao, unaoishi nao kitaa au hata wale unaosali nao kama huwa unaendaga msikitini au kanisani
 
Na kwa kukusaidia muda haujaenda,wala haujawa kikwazo kabsa kwako,mafanikio hayatokani na muda na ukijiona unachalewa unajipa deni akilin na rohon so unaposhindwa kulilipa unaumia sana kisaikologia... Cha muhimu ishi na waza sahihi muda wote..

Maisha hayakamiwi.. Usifikirie saaaaaaan kuhusu maisha maana yana mwsho haya jombaaa. Ila naiman kabla ya mwaka huu kuisha kuna jambo jema litakutokea na uje utupe mrejesho hapa... Tchao
 
Shukran sana mkuu Allah akijaaliya nitafanya hvyo

Nathamini
 
Tunaweza kunenepesha mbuzi na ngombe na kuwauza.....kama na uwezo wa kununua mbuzi wewe utachangia nini?
 
MIMI NINA ENEO NUSU HEKA, NA MAHALI PA KUISHI HAPOHAPO, MWENYE NIA YA KUTAFUTA ACHANGIE KUJENGA MABANDA MITI YA KUJENGEA MI TATAFUTA KUKAA BURE, TUSHRKIANE TWENDE TUKAFUGE KUKU HASA WA KIENYEJI MI PA KUWAPATA NAJUA PIA,ENEO LIPO KSARAWE. 0683666702
 
Back
Top Bottom