Mliofunga: Kama hamuuzii watu vitu vya kula kwanini mnafungua maduka?

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Si bora mfunge maduka kama hamtaki kutuuzia mbona siye kipindi cha Kwaresma hatukuwabagua.
 
Hawa arab soo sana,kule madagascar kuna kundi la waarab wananunua biblia kwa dola nyingi sana hafu zikiwa nyingi wanazichoma moti.na serikali ipo kimya tu na wakristo wametulia tu.sa nenda saudia au nchi yoyote yenye waislam wengi hafu choma tu ukurasa mmoja wa Quran utaona utachofanywa!!!
 
Duuh,sasa Kwanini Huwa Watata Sana Au Imani Yao Yakuunga Unga
 
Si bora mfunge maduka kama hamtaki kutuuzia mbona siye kipindi cha Kwaresma hatukuwabagua.

Kanunue kwa Wasiofunga

Mie nikiwa Morogoro huwa napenda sana kufikia Hotel Maarufu ya Oasis ukiwa pale Hotelini kutokana na Imani za wale Wahindi hawauzi wala hawapokei order ya kupikiwa Nyama ya Ng'ombe na Nina heshimu hilo, niki miss Nyama ya Ng'ombe naenda kula Maeneo Mengine na kurejea pale
 
Hawa arab soo sana,kule madagascar kuna kundi la waarab wananunua biblia kwa dola nyingi sana hafu zikiwa nyingi wanazichoma moti.na serikali ipo kimya tu na wakristo wametulia tu.sa nenda saudia au nchi yoyote yenye waislam wengi hafu choma tu ukurasa mmoja wa Quran utaona utachofanywa!!!

Mbona Unatoa Mifano ya Mbali?

Huyu Paul Makonda angekuwa ni Muislam na hizi Kashfa Zake mngeacha kudhalilisha dini yake? Lakin Sie Waislam tunamponda yeye Hatuna time na dini yake !

Jk alipokuwa anafanya mnayohisi Makosa Basi Yale Mapungufu yake mkawa mnayatumia kutukania dini yake! Sie tukimponda Magu hatutukani wala kudhalilisha dini yake

JPM Tangu kaingia anateua Kama vile hii Tanzania ni Parokia lakin husikii kelele lakin Jk Pamoja na kuwa na Cabinet yenye Wakristo wengi mpaka anaondoka lakin Kelele zenu kila Jpili mpaka Viziwi waliskia
 
Back
Top Bottom