Polisi nane wameuawa na mmoja kujeruhiwa huko Bungu mkoani Pwani walipokuwa wakirudi kambini baada ya kubadilishana lindo katika kizuizi.
Binafsi ninatoa pole za dhati kwa familia, ndugu, jamaa...
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe amewataka wananchi wa Tabora kutumia fursa ya uwepo wa Chuo cha Mafunzo ya Ufugaji Nyuki(BTI) kupata mafunzo ya ufugaji nyuki.
Alisema ni...
Kwanza poleni, mwaka Jana tarehe 30.05.2016 waliripoti kazini na June 2016 zilisitishwa ajira zao kupisha zoezi la UHAKIKI watumishi hewa na vyeti fake,
Mwezi 4. 2017 walipigiwa Simu kuulizwa...
Wadau wa ujenzi njooni hapa tupeane uzoefu katika ujenzi, mfano namna ya kuepuka kreki kwenye nyumba, wapi wanakouza vifaa vya ujenzi kwa bei nafuu, na kadhalika.
Karibuni!
Hauna jipya zaidi ya kuabudu mashetani. Kuna taarifa rasmi kuwa Mwenge huo unapofika Rombo-Kilimanjaro hufanyiwa tambiko mbalimbali ili kulinda viongozi wa nchi.
Taarifa zinaonesha kuwa kuna...
JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linawashikilia watu tisa kwa tuhuma za kujihusisha na uvunjaji wa nyumba na kuiba mali wilayani Ilemela.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Ahmed Msangi...
Nimepata kigugumizi ktk hili nisijue kipi cha kufanya, Hivyo nikaona nisogeze hii kitu Hapa walau mnifungue kiakili/kimitizamo zaiDi
Ni kwanini kitu ulichopatiwa kama zawaDi na Mzazi, rafiki...
Kikundi kimoja cha kidini mkoani Rukwa kimepiga marufuku waumini wake wa kike wajawazito kuhudhuria kliniki huku watoto wakikatazwa kupokea chanjo yoyote kwa maelezo kuwa ni kinyume na mafundisho...
Vijana wako wamekuwa kero sana hasa kitengo cha pale Kamata na Vitengo vingine vya Polisi ambavo vinashughulika maswala yanayohusu mihamala ya fedha.
Wengi wanajua kabisa sheria ya ant-money...
Tuliona ile post kuhusu fee ya 1500 kwa watanzania kuingia nationa parks kutolewa kuna mtu aka comment ni mtego ili wakaliwe na simba watu wale rambirambi sasa kuna hii tena....haya bana,haya...
Kwa wale wafanyabiashara wa phamacy, Bar na bidhaa mbalimbali nawaletea software ambayo ndio itakuwa suluhisho la kujua sales, profit, received item nk...
Ni very easy, na mhudumu wa counter...
Kuna utapeli upo unaendelea kwenye mitandao.. Kuna watu wanajifanya wanauwezo wa kuwaingiza vijana kwenye mafunzo ya jkt huku wakiomba watumiwe pesa.. Hapa mtaani kwetu kuna mama katapeliwa leo na...
Habari wakuu!!
Katika dunia tuliyopo tumejikuta tunazungukwa na watu weeeengiii wa aina na mitazamo mbali mbali, kibaya zaidi tabia nazo zimekuwa changamoto!!!
Kutokana na uwingi wa watu...
Wakuu mimi ni mfantabiashara ninaagiza vifaa vya ujenzi nakuuza.Lakini pia ninategemea kuvuna ngano na kuexport.
-Ninapata dollar kadhaa.Nahitaji mnifahamishe benki bora kwa akaunti ya us...
Ana utajiri wa kushtusha! Anamiliki mahotel na nyumba za kifahari za kutisha. Tapeli Ben rowaza mkaazi wa sinza, aliwahi kupata hekaheka za madawa ya kulevya, ugomvi na makonda. Alikamatwa akiwa...
Hili la Roma kushirikiana na baadhi ya wasanii kutumbuiza Ikulu , kwenye ile ripoti ya Mchanga ni lazima lijadiliwe.
Ikumbukwe kwamba ni majuzi tu huyu jamaa alitekwa na wanaosemekana ni watu...
Inasikitisha kuwa lile agizo la Mwakyembe kuwa visomwe vichwa tu vya habari katika magazeti linatekelezwa katika hali ya kusikitisha na woga. Ni afadhali muda huo mkautumia kwa kitu ambacho ni cha...
Huu ni wito uliotolewa na mwakilishi wa Taasisi ya Okoa Tembo Tanzania Bwana Shubert Mwarabu.
Kwamba serikali imezikamata pembe za ndovu toka kwa wahalifu, sawa, ila kwanini hawazichomi moto...