Mambo vp wadau,kwa wale wapenz WA TV Bila Shaka mtakuwa wengi wenu mmeshawahi kutupia jicho clouds tv kama mnavyotupia jicho TV zingine
Katika kufanya hivyo binafsi nimegundua clouds tv Wana...
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KUEPUKA MATUKIO YA MOTO UNAOSABABISHWA NA UMEME MAJUMBANI.
1.Hakikisha utandazaji nyaya (wiring) inafanywa na mkandarasi aliyesajiliwa na Serikali
2.Hakikisha vifaa...
Habari wana JF.
Naomba kuulizia kwa yeyote anayefahamu Boxing Gym iliyopo maeneo ya mbagala rangi tatu na viunga vyake vya karibu kama Zakhem,Kokoto n.k basi anijulishe hapa eneo ilipo hiyo...
Karibuni kwenye Jamvi.
Kama nilivyo eleza katika kichwa cha habari hapo JUU..
Najua na kwa hakika wapo watakao shangaa na kupinga, pia wapo watakao UNGANA nami kwa michango yenye KUELIMISHA na...
Salama wakuu? Nina swali. Share holder wa kampuni binafsi ( Private Company Limited By Shares ) ambae alikuwa bado hajazilipia share zake na anataka kujitoa kwenye kampuni...
Kufuatia matukio ya ukatili dhidi ya wazee vikongwe kuongezeka mkoani Tabora, yanayosababishwa na imani za kishirikina, Jeshi la polisi mkoani humo limeazimia kuyamaliza, kwa kuwakamata wapiga...
Kwa kile kinachodaiwa ni kutokukubaliana na mwenyekiti wao kuwa mkuu wa mkoa na kukabidhiwa ilani ya ccm viongozi wa ACT kigoma wamejiunga na CHADEMA na wengine kustaafu siasa kabisa Nini maoni yako
Toka niwe member hapa sijawahi fikiria siku moja nitakuja kukutana na mawazo mbadala ya kubadilisha status ya uchumi wangu hapa. Nilikuwa shabiki namba moja wa jukwaa la SIASA,kimsingi sio dhambi...
Ni wazi katika maisha huwezi kuishi peke yako.
Lakini pamoja na kutegemeana huko, yapo mambo ambayo usipokuwa mwangalifu, yatakugharimu sana kimaisha.
Zipo imani na mitazamo mbalimbali ya kijamii...
Dodoma. Imeelezwa kuwa Tanzania ina wastani wa ongezeko la idadi ya watu la asilimia 4.7 kwa mwaka na kwamba hadi kufikia Machi mwaka huu ilikuwa na jumla ya watu 48.6milioni huku asilimia 30 ya...
Nafikiri mnakumbuka lile sekeseke la sms 2010 tukaambiwa kuna mtambo umeletwa toka Israel,ya kwamba kuna uwezekano ukatumiwa SMS na namba fulani labda ya kutishia kukuua au kukutukana kumbe...
Watanzania kumbe tunaogopa tu kutembelea vivutio vyetu vya utalii. Tukisingizia gharama kumbe si kweli.
Nimekuja Serengeti, nimelipa 11,800 pamoja na VA, m'bongo ni nafuu mno. Mgeni kutoka USA...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu, ameuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha wanachama wa mfuko huo wanapata matibabu ya upandikizaji...
TUME ya Vyuo Vikuu imekiri kuitisha mitihani ya utambuzi wa sifa mbadala (RPL) kwa watu ambao wana uzoefu wa siku nyingi katika fani zao wanazofanyia kazi, lakini hawana vigezo vya kielimu vya...
Kodi ya majengo imezidishwa kutoka 10000 kwend 15000 na kam ulikua na malimbikizo ya nyuma yote kufutwa (pamoja na riba) na unatakiwa ukalipe kodi ya majengo kabla tar.30/06/2017 bila hivyo tax...
Kuna ajali imetokea maeneo ya mwanambaya mkuranga,basi limeacha barabara na kupinduka lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya mtu yeyote aliyefariki katika ajali hiyo.
"Tumepata ajali muda huu maeneo...
Japokuwa sina historia ya kuogofya sana katika Imani, lakini hapo awali nami bila shaka nalikuwa kama wewe.
Kwanza kabisa, ilifika nyakati nikadai hakuna Mungu. Nilijitengenezea Facts zangu zaidi...