Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Sijui ni kalama, sijui ni nature, sijui ni mapenzi ya Mungu!
Mchungaji Gwajima akiwa anaongea utapenda umsikilize,hata kama uko opposite nae. Na akiwa anaongea maneno yake huwa matamu sana, anajua kupanga na kupangua, tena haraka haraka! Hamung'unyi maneno.
Gwajima akianza kuongea unapata hamu ya kumsikiliza. Huwa yupo straight sana. Hata kama hutaki utamwelewa tu. Sijui ni kisimati.
Ukilinganisha Gwajima na viongozi wengine wa kiroho, unaona tofauti kubwa sana. Wengi hawana mvuto mbele za watu, hawajichanganyi, hawatemi cheche na hawaonekani mtaani kabisa. Madhehebu makubwa lakini hawajulikani.