TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
TMA utabiri tuu. Si zaidi ya utabiri.Hawa jamaa walisema mvua zitanyesha hadi mwezi wa saba nikalima mahindi mvua zimekata mahindi hata kuchanua bado, sijui niwaroge?
Hivi hawa TMA wakitudanganya tunaweza washitaki mahakamani?