GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,214
Tangia nianze kuyafahamu haya Magazeti ambayo pia nimegundua kuwa yana mlengo wa Kiupinzani zaidi sijawahi hata siku moja kuona yakija na Headlines njema kuhusu Bajeti zote za Tanzania hasa kwa miaka yote ya huko nyuma ila kwa Headlines zao za leo imebidi nishtuke kidogo na kuuliza je wanawakilisha Uhalisia au wanazidisha tu Unafiki wao uliotukuka kwa Serikali ya CCM kwa gharama ya Wapinzani wanaowapenda?
MWANANCHI la leo wameandika " Ni bonge la Bajeti "
THE CITIZEN la leo wameandika " It's a feel good Budget "
Nawasilisha.
MWANANCHI la leo wameandika " Ni bonge la Bajeti "
THE CITIZEN la leo wameandika " It's a feel good Budget "
Nawasilisha.