Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakuu..kumekua na ongezeko la mada ambazo kiukweli kwa slogan ya home of great thinker's ni aibu kuwepo..lakini kama tujuavyo shule zimefungwa watoto wanajiachia tu humu..ukakasi umejaa..masikhara...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nina maana yangu kusema hivyo, kuwa hali ya sasa hivi inatisha haswa kwenye nyumba hizi za kulala wageni al maarufu guest house ukienda sehemu sio ujichukulie tu mradi guest haswa hizi...
3 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano Mwaka 2017 | Poralgralg - Tanzania
0 Reactions
14 Replies
7K Views
Hamjambo? Niende kwenye hoja moja kwa moja. Sote tunajua ardhi ni mali, kwa Tanzania ni mali ya serikali ingawa naamini zaidi kuwa ni mali ya aliyeiumba. Kila kitu kinafanyika juu ya ardhi...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
MAHAKAMA ya Wilaya ya Mlele mkoani Katavi imemhukumu kwenda jela miaka 23 mkazi wa kijiji cha Kalovye, Osward Mpalasinge (26). Amepewa adhabu hiyo baada ya kupatikana na hatia ya kuvunja na kuiba...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Inakuaje makato yapande mara kwa mara na kwa kiasi kikubwa namna hii katika uendeshaji wa akaunti za kawaida za wateja wa benki hii? Nimeliona hili katika statement yangu ya akaunti ya mwezi...
3 Reactions
71 Replies
8K Views
Napenda kuelimishwa umuhimu wa kusajili namba za Sim. Kwasababu hata ukiibiwa Sim matapel wanaitumia kutapeli watu na ukiriport polisi hakuna kinachoendelea. Wezi wa Sim bado wengi tu na hata...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Hi Great Thinkers.Nimesikia Hizo Tetesi Leo Asubuhi Lengo La Uhakiki Huo Kwa Watumishi Ni Nini Na Utaendeshwaje?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Demand rises for gold storage The gold price hit a seven-month high earlier this week, within about US$5 an ounce of $1,300/oz but had eased this morning to $1,285/oz. Terror attacks, tension in...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Kwanza nianze kwa kusema mimi sio mzawa wa Tanzania, yaani kipindi nikiwa na miaka 8 wazazi wangu walitoka huko walikotoka na kuja kuanzisha makazi yao Tanzania baada ya muda tukapata uraia wa...
9 Reactions
57 Replies
5K Views
Mnaalika watu wa mataifa mbalimbali kwenda kuwaonyesha ujinga wenu, eti commando anapigana na mawe, hakika huo ni ujinga kabisa. India taifa masikini ona wanachokifanya.
8 Reactions
80 Replies
13K Views
Polisi wa kuzuia ghasia wanarusha mabomu ya machozi kukabiliana na wafanyabiashara almaarufu kama boda boda. Sekeseke hilo limetokea baada wa wafanyabiashara hao kuandamana kufuatia kifo cha...
3 Reactions
57 Replies
8K Views
Wakuu naombwa kujuzwa lodge au guest house nzuri kwa maeneo ya Mwanza mjini. Isiwe mbali sana na mjini au iwe inafikika kirahisi kwa maana ya kutoka au kuelekea mjini. Ni vyema kama ningejulishwa...
0 Reactions
39 Replies
18K Views
Haya ni maoni yangu tu, Baada ya kutumbuliwa wale wenye vyeti feki sasa tuhamie kwa wale ambao waliiba mitihani au walifanyiwa mitihani, kumbukumbu zangu zina onesha kuna miaka mitihani hususani...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Wakuu husika na somo la hapo juu Naomba mnijijuze kwa wale wazoefu ili niweze kuwa wakala wa hiyo mitandao nahitaji kuwa na: 1 mtaji kiasi gani 2 mashart ya kujiunga 3 faida kama inalipa Na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kulivunja jengo la Shule ya Sekondari ya Vikokoni lililopo Darajani Mjini Zanzibar na badala yake eneo hilo linatarajiwa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wale tuliopaki kwa hofu ya malimbikizo ya Road Licence sasa ikifika Tarehe Mosi Julai tunaingia barabarani CC Wamiliki wa: 1. Datsun 2. AWD (Bedfords) 3. Bettle 4. Volkswagen kombi 5. Mercedes...
3 Reactions
45 Replies
7K Views
Nawasailimu ndg,JF kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini. Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo : 1.viatu (60,000/= 2.t shirt (25,000/=...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Heshima kwenu mabibi na mabwana, ni imani yangu mko vyema kabisa, mnaendelea na ujenzi wa Nchi. Hongereni kwa bajeti nzuri ya 2017/2018, lkn wakati ninyi mkiendelea kushangilia hilo, mnikumbuke...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom