Polisi wa kuzuia ghasia wanarusha mabomu ya machozi kukabiliana na wafanyabiashara almaarufu kama boda boda. Sekeseke hilo limetokea baada wa wafanyabiashara hao kuandamana kufuatia kifo cha...
Wakuu naombwa kujuzwa lodge au guest house nzuri kwa maeneo ya Mwanza mjini.
Isiwe mbali sana na mjini au iwe inafikika kirahisi kwa maana ya kutoka au kuelekea mjini.
Ni vyema kama ningejulishwa...
Haya ni maoni yangu tu, Baada ya kutumbuliwa wale wenye vyeti feki sasa tuhamie
kwa wale ambao waliiba mitihani au walifanyiwa mitihani, kumbukumbu zangu zina
onesha kuna miaka mitihani hususani...
Wakuu husika na somo la hapo juu
Naomba mnijijuze kwa wale wazoefu ili niweze kuwa wakala wa hiyo mitandao nahitaji kuwa na:
1 mtaji kiasi gani
2 mashart ya kujiunga
3 faida kama inalipa
Na...
Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imesema inakusudia kulivunja jengo la Shule ya Sekondari ya Vikokoni lililopo Darajani Mjini Zanzibar na badala yake eneo hilo linatarajiwa...
Wale tuliopaki kwa hofu ya malimbikizo ya Road Licence sasa ikifika Tarehe Mosi Julai tunaingia barabarani CC Wamiliki wa:
1. Datsun
2. AWD (Bedfords)
3. Bettle
4. Volkswagen kombi
5. Mercedes...
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=...
Heshima kwenu mabibi na mabwana, ni imani yangu mko vyema kabisa, mnaendelea na ujenzi wa Nchi.
Hongereni kwa bajeti nzuri ya 2017/2018, lkn wakati ninyi mkiendelea kushangilia hilo, mnikumbuke...
Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu
Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil...
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,
Ni watu ambao wanamiliki...
Habari wadau,<br /><br />Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni...
Sina sababu ya kuanza kueleza yanayotokea huko Kibiti na maeneo mengine ya karibu.
Hivi sasa hapa nchini kuna ugumu wa kumiliki silaha, yaani nazungumzia mlolongo wa mambo ya kufuatilia ili tu...
Habari, binafsi nimeona lishakuwa ni tatizo LA umeme hakuna tena uhakika wa umeme Na hili limeanza Mara baada ya Kuondolewa kwa WAZIRI wa Nishati Professor Muhongo yawezekana aliweza kulisamia...
Hbr Za Jioni Jf.Leo Mida Hii Nimeshuhudia Ugomvi Kati Ya Mpangaji Na Mwenye Nyumba.Mpangaji Kaua Paka La Mwenye Nyumba Eti Limeiba Maziwa Ya Mwanae.Baba Mwenye Nyumba Anamlazimisha Muuaji Ale...
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Naibu Waziri Wa Mambo ya Ndani Massauni amefunguka na kusema hivi sasa madereva ambao watakuwa wakikiuka makosa ya barabarani wanapaswa...
Za asubuhi watanzania wenzangu, nimekwangua vocha ya Halotel kwa bahat mbaya namba mojawapo ikafutika hivyo nahitaji kuongea na watoa Huduma kwa Wateja. Nimejaribu kupiga 100 sijafanikiwa kuwapata...
Habarini za jioni; nmekutana na thread mojawapo inatoa malalamiko kuwa CRDB imeongeza monthly maintanance fees! Yaani pesa ya kwako waitumie kuzalishia na bado uwalipe tena! Kuna sababu watu...
Hbr Za Jioni Wana Great Thinkers.Baada Ya Kusota Sana Na Kupanga Nimeamua Kujenga Room Moja Self Na Sebule Nikivuta Nguvu Za Baadae.Tatizo Mzee Wangu Anasema Choo Cha Ndani Haramu Ananipinga...
Mwanamke mmoja astuka baada ya kugundua nyoka aina ya Black mamba yupo pembeni ya kitanda chake
Wiki 2 zilizopita nilitoa uzi kuelezea namna nyoka aina ya black mamba alivyoingia kwenye moja ya...