Vijana wa mjini wana matatizo gani?

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
592
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=
3.simu (300,000/=
4.mkufu(40,000/=
5.suruali (35,000/=
n.k
halafu eti anasema HANA MTAJI...
je hizo PESA za kununua hivo vitu wanapata wapi ??
 
Vijana wa mjini wanataka mpaka hela iandikwe juu kuwa ni ya mtaji wa biashara.....au iandikwe juu kuwa ni ya kununua kiwanja.........

Hasa vijana ambao ni wazaliwa wa Dar.....unakuta mtu ana zaidi ya miaka 40 bado anagombania maandazi na matonge ya ugali na wadogo zao......anakuambia ametafuta kazi amechoka.....!!??
 
kuna jamaa namfahamu hadi anawatoto wawili kazalisha mitaani
 
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=
3.simu (300,000/=
4.mkufu(40,000/=
5.suruali (35,000/=
n.k
halafu eti anasema HANA MTAJI...
je hizo PESA za kununua hivo vitu wanapata wapi ??

Wanapakwa mafuta mkuu.

Mjini kuna mambo sana!!!!!
 
Sasa mimi kakibanda aliko nipa mshua mjini kati kana fremu 9 kwa mwezi sikosi chini ya m8 hiyo tunaizidisha kwa miezi 6 sasa hapo nijichoshe ili iwaje,nikiamka navaa msuli wangu naenda kugonga supu ya kuku kisha naenda kwa wana kupiga soga huku nina uhakika wa kula vizuri mchana na jioni na pia pocket money ya kung'oa watoto wazuri ninayo ya kutosha.

Note:Mjini ni kufanya yako ukifatiria ya wengine utajiumiza kichwa

172e398e40902cf7802a4636b3bc4da6.jpg
 
Nawasailimu ndg,JF
kuna kitu najiuliza ila sipati jibu kwa hawa VIJANA waishio mijini.
Unakutana na kijana hana KAZI/AJIRA lakini anamiliki vitu vifuatavyo :
1.viatu (60,000/=
2.t shirt (25,000/=
3.simu (300,000/=
4.mkufu(40,000/=
5.suruali (35,000/=
n.k
halafu eti anasema HANA MTAJI...
je hizo PESA za kununua hivo vitu wanapata wapi ??
tunavitoa mjini
 
Wengine ni Marioo wanalipwa na mijimama mkuu...........

Wanataka mitaji ya mamilion
 
Back
Top Bottom