Mzee wangu ananiambia Choo cha ndani Haramu, wakati mi ndicho nakitaka, nifanyeje?

Kaka

JF-Expert Member
Nov 22, 2006
740
500
Hbr Za Jioni Wana Great Thinkers.Baada Ya Kusota Sana Na Kupanga Nimeamua Kujenga Room Moja Self Na Sebule Nikivuta Nguvu Za Baadae.Tatizo Mzee Wangu Anasema Choo Cha Ndani Haramu Ananipinga Kabisa Kila Akija Site Ni Kupinga Tu.Nifanyeje Na Mimi Sitaki Kutoka Usiku Na Panga Kwenda Chooni?
Mkuu,

Anatoa sababu zipi kwamba choo cha ndani ni haramu?

Kaka ...
 
daudthefarmer

JF-Expert Member
Apr 30, 2016
5,466
2,000
Hbr Za Jioni Wana Great Thinkers.Baada Ya Kusota Sana Na Kupanga Nimeamua Kujenga Room Moja Self Na Sebule Nikivuta Nguvu Za Baadae.Tatizo Mzee Wangu Anasema Choo Cha Ndani Haramu Ananipinga Kabisa Kila Akija Site Ni Kupinga Tu.Nifanyeje Na Mimi Sitaki Kutoka Usiku Na Panga Kwenda Chooni?
Halafu rekebisha kinakilishi chako, hizo herufi kubwa baada ya neno hazileti uandishi mzuri.
 
GIUSEPPE

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
5,281
2,000
Hbr Za Jioni Wana Great Thinkers.Baada Ya Kusota Sana Na Kupanga Nimeamua Kujenga Room Moja Self Na Sebule Nikivuta Nguvu Za Baadae.Tatizo Mzee Wangu Anasema Choo Cha Ndani Haramu Ananipinga Kabisa Kila Akija Site Ni Kupinga Tu.Nifanyeje Na Mimi Sitaki Kutoka Usiku Na Panga Kwenda Chooni?
Sasa kama wewe umeshindwa kumuuliza haramu kwa vipi sisi ndo tufanyaje? alafu kama ni haramu ungemwambia swa kabisa haramu kwake halali kwako, kwani na yeye anakuja kuishi kwenye hiyo nyumba? Alafu kosa lako huku mfafanulia choo cha ndani kuwa sio kuwa unachimba shimo ndani ya nyumba, kwamaana yeye anajua chooo ni cha shimo cha kulenga direct kwenye shimo.
 
BIGstallion

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
6,391
2,000
Pole Sana mkuu,mwelewesh tu sikuizi watu wanajenga ndan kwa ajili ya usafi na privacy,..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom