Mabilionea Kanda ya Kati ni shida

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,978
2,000
Aisee nimekaa hapa hii kanda ya kati yaan dodoma nimegundua kumbe kuna matajir hatari zaid hata ya kanda ya ziwa na kanda ya kazkasin hawawez kuwafikia hata kwa dawa,

Ni watu ambao wanamiliki mkwanjwa wa adabu lakin jamaa hawana mbwembwe nyingi kama za wasukuma na wachaga za kutembelea hama na gari zilizoandikwa plate number za majina yao na ni wakimia baraa hawa watu ni shida

Nakutajia baadhi yao tu
A Bhanji
B Boss Ngasa
C Peter Fasion
D Kifimba na Kimbinyiko

Nawasilisha chalenge za matajiri wa pande uko uliko zinaruhusiwa hata kama ukiwaweka hapa ni sawa tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom