Msaada: Naomba kujua namna NGOs zinavyoweza kupata mtaji wa kufanikisha majukumu ya asasi

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Habari wadau,

Huwa nawaza sana kuanzisha NGO lakini shida ni kwamba nashindwa kuelewa namna ambavyo ntaweza kuisaidia jamii nikiwa nimekwisha maliza usajiri wa NGOs sasa sijajua ni namna gani naweza kuwa supported na watu wengine.

Nawasilisha

Boss mara nyingi chanzo cha mapato ya asasi ya kijamii huwa ni annual subscription fees pamoja na ufadhiri wa Donors. So kwa kuanza ninyi founders mtatakiwa kutengemeza asasi kwa kulipia vitu kama kodi ya pango na bills nyinginezo kutoka ktk hzo subscription fees na kujitolea. But kikubwa sasa muanze kuandika maandiko mradi na kutafuta wafadhili .

Dah thanx sana

Back
Top Bottom