darts
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 257
- 176
Habari, binafsi nimeona lishakuwa ni tatizo LA umeme hakuna tena uhakika wa umeme Na hili limeanza Mara baada ya Kuondolewa kwa WAZIRI wa Nishati Professor Muhongo yawezekana aliweza kulisamia hili Na Mara baada ya kuondoka tumerudi tulipotoka. Nachelea kuyasema haya kwani kwenye kipindi chake aliwahi kutueleza watu wanafanya hujuma KIDATO kwenye vyanzo VYA MAJI kwa kuyafungulia yaende kumwagilia ili watu wafanye BIASHARA ya majereta. Tulikuwa tukipita Kariakoo utazani upo maeneo ya viwanda ni makelele . Aidha kama yupo anaejua kuna tatizo gani maana Tanesco kama kawaida kimyaa hatakutueleza Wateja wake.Pia niliwahi kusikia kuna nchi itakuja kuwekeza kwenye Umeme Sijui inakuja lini Bola ije mapema. Navip kuhusu Gesi haina MSAADA katika umeme hau bado haijaanza kuvunwa.