Wewe wasemaje kuhusu hili?

habari ya hapa

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
12,795
2,000
Heshima kwenu mabibi na mabwana, ni imani yangu mko vyema kabisa, mnaendelea na ujenzi wa Nchi.

Hongereni kwa bajeti nzuri ya 2017/2018, lkn wakati ninyi mkiendelea kushangilia hilo, mnikumbuke kuniombea maana ndoto yangu ya kutembelea makalio ifikapo Sept sina hakika km itakuwa kweli. Huenda ikabaki kuwa ndoto. Sitaki uniulize kwann wakati jibu unalo. Lkn Mungu anawaona wote mnotaka kuifanya ndoto yangu ibaki kuwa ndoto. Kweli Mungu anawaona

Nirudi kwenye mada, wewe binafsi unazungumziaje suala hili LA Hawa Kupatikana kutoka ubavuni kwa Adam, hivi Hawa alipitia mlango gani hata kulala ubavuni kwa Adam?

Je mwanaume aweza kubeba mimba na kuzaa?

Kwa mawazo yangu, huenda wanaume wa Sodoma na Gomora waliamua kulawitiana wakifanya majaribio km ni kweli mwanaume naye aweza kubeba mimba na kuzaa km inavyosemwa kuwa Hawa alitokana na ubavu wa Adamu.

Wewe wafikiria nini ktk hili
 

Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
8,154
2,000
Unataka kusema nini shekh
Hata mada yako mkuu hijawa wazi ni kipi hasa unataka kukifikisha watu wakuelewe,ila ukitizama swali lako kuhusu mwanaume kuzaa...ni kweli unataka watu tutoe mawazo yetu kama mwanaume anaweza kuzaa ama haiwezekani katika zama hizi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom