Deni limefutwa aka limesamehewa...Hivi hii inamaana mtu aliyekuwa ame park labda sababu anadaiwa hiyo motorvehicle za nyuma inamaana ndo basi tena ikifika julai anatafuta bima tu au denu lipo palepale.. Maana kuna mtu aliniuliza hii kitu nika mute kwanza..
Dini litalipwa atakapoanza kununua mafutaHivi hii inamaana mtu aliyekuwa ame park labda sababu anadaiwa hiyo motorvehicle za nyuma inamaana ndo basi tena ikifika julai anatafuta bima tu au denu lipo palepale.. Maana kuna mtu aliniuliza hii kitu nika mute kwanza..
Hapana Mkuu kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti jana inasemaMkuu Kama una deni unalipA kwanza ndo uingize muwa wako barabarani.
Kumbe madeni yanalipwa kwanza? Maana mimi roho imeniuma wiki iliyopita nimelipa 1,087,500 kodi ya kuanzia 2015 sasa niliposikia wamefuta nusu nilie kuwa ningejua ningesubiri. Ila kama watadai madeni ya nyuma kabla ya uamuzi huu nitajiona mjanja vinginevyo bado naugulia maumivu!Mkuu Kama una deni unalipA kwanza ndo uingize muwa wako barabarani.
Sasa hapa wengi ndo wataelewa mimi nikiwa mmoja wapo... Kwaiyo ilikifika july 1 ni kutafuta bima tu... Labda na ile ya usalama barabaraniHapana Mkuu kwa Mujibu wa Hotuba ya Bajeti jana inasema
"Sehemu ya 70(i) Mheshimiwa Supika napendekeza Marekebisho kwenye sheria ya Usalama Barabarani Sura 168 kama ifuatavyo;
Kufuta Ada ya Mwaka ya Leseni ya Magari ili ada hii ILIPWE MARA MOJA TU GARI LINAPOSAJILIWA NA BAADA YA HAPO IENDELEE KULIPWA KUPITIA USHURU WA BIDHAA KWENYE MAFUTA ya Petroli ,Dizeli na Taa kama ilivyoainishwa katika aya ya 69ii.
Aidha SERIKALI INATOA MSAMAHA WA KODI,RIBA NA ADHABU ZINAZOAMBATANA NA MADENI YOTE(Tax Amnesty) YA ADA HIYO YALIYOLIMBIKIZWA KWA MIAKA YA NYUMA" Kilichopo ni kwamba Ada ya Leseni ya Gari wakati wa usajili mara ya kwanza ndiyo itaongezeka kwa kuzingatia CC za gari husika MFANO:
CC: 501 HADI 1500 Ada itakuwa Laki Mbili badala ya Laki Unusu ya sasa
CC 1501 HADI 2500 Ada itafika Laki mbili Unusu tofauti na ya sasa laki 2
CC 2501 NA ZAIDI Itakuwa Laki Tatu
Mkuu madeni ya nyuma,adhabu na faini zote zimefutwa kwa hiyo sasa hivi hakutakuwa na swali kutoka kwa Mamlaka yoyote iwe Polisi au TRA juu ya Motor Vehicle Licence, ni mwendo wa Stika ya Bima na Inspection tu...Labda waibue stika za fire!Kumbe madeni yanalipwa kwanza? Maana mimi roho imeniuma wiki iliyopita nimelipa 1,087,500 kodi ya kuanzia 2015 sasa niliposikia wamefuta nusu nilie kuwa ningejua ningesubiri. Ila kama watadai madeni ya nyuma kabla ya uamuzi huu nitajiona mjanja vinginevyo bado naugulia maumivu!
Hasa la kutovaa mkandaYaani ni stika hizo tu mkuu kuanzia tarehe Mosi Julai...labda akukamate kwa kosa jingine