Unajua vitu vingine vinachekesha xana waziri mpango anasem toka julai 2016 takribani biashara elfu 7 zimefungwa nakuanzia january 2017 to now takriban biashara laki 2 zimesajiliwa ok fine ,, pointi yangu ipo kwenye hii sababu ya great depresion ya20 century kule ulaya ambayo ilikuwa resulted na first world ikapelekea bankrupt na biashara nyingi kufungwa ulaya ,, swali je? hii ina uhusiano gan na wafanyabiadhara wa tanzania kufunga biashara zao kwa wingi since mtukufu huyu alipoingia madarakan ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.