Tanzania nchi yenye wanafiki wa kutupwa dunian

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,934
2,000
Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu

Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil na nchi nyingine nyingi sana hiyo yote sababu ya kusaka life ile niweze kukamata mkwanja wa maana na kumek good life

Katika nchi zote hizo unafiki na wanafiki ni wachache sana tofaut na hapa kwetu, hapa kwetu kila kiumbe ni mnafiki awe dada au kaka yaan ni unafiki kwa kwenda mbele, kiwe kile chama chetu pendwa ni wanafiki wa kutupwa pamoja na lile chama letu kubwa nalo ni nafiki la kutupwa

Sasa bas sisi wabongo lin tutaacha unafiki ili tuwe kama wenzetu, maana sio kwa unafiki huu tulionao

Nawasilisha
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,849
2,000
Hata wewe unabaki kuwa mafiki kwa7bu umeshindwa kuainisha unafiki wa unaowatuhumu so hii haikufanyi wewe kuwa msafi,oanisha ni sababu zipi zilizokufanya uandike tuhma hizi!!!
 
SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
Napendaga ma likes, Nyomi , Atention....!! Chochote kinachopita kichwani mi napost....!!
Napendaga Malikes, camera, action...!! Hata kama pumba mi napost...!!
 
yomboo

JF-Expert Member
May 9, 2015
6,233
2,000
Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu

Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil na nchi nyingine nyingi sana hiyo yote sababu ya kusaka life ile niweze kukamata mkwanja wa maana na kumek good life

Katika nchi zote hizo unafiki na wanafiki ni wachache sana tofaut na hapa kwetu, hapa kwetu kila kiumbe ni mnafiki awe dada au kaka yaan ni unafiki kwa kwenda mbele, kiwe kile chama chetu pendwa ni wanafiki wa kutupwa pamoja na lile chama letu kubwa nalo ni nafiki la kutupwa

Sasa bas sisi wabongo lin tutaacha unafiki ili tuwe kama wenzetu, maana sio kwa unafiki huu tulionao

Nawasilisha

Si kweli maana mtu aliezunguka kote huko hana muda Wa jamii forums

Otherwise ulienda kwa ndoto , especially MTU Wa Lumumba buku jero huwa akili zao hazivuki pua
 
Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,934
2,000
Hata wewe unabaki kuwa mafiki kwa7bu umeshindwa kuainisha unafiki wa unaowatuhumu so hii haikufanyi wewe kuwa msafi,oanisha ni sababu zipi zilizokufanya uandike tuhma hizi!!!
Wewe unafiki wako umezid sasa hapo umeweka hiyo picha ya huyo mzee wetu densa pesa ili upate mirathi sio
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,849
2,000
Wewe unafiki wako umezid sasa hapo umeweka hiyo picha ya huyo mzee wetu densa pesa ili upate mirathi sio
2b313c2aaf9831807600fb92a468218a.jpg
c13b70b92941c7cdf2585a1de718e419.jpg

Huuoni unafiki wako!?halafu upo hapa una-judge unafiki wa wenzako na wewe ulivyomuweka marehemu Ivan akiwa na dollars zake mezani ni ili uonekane na wewe ulikuwa karibu nae ili upate mgao wako sio!mie nimeweka kama ishara ya masikitiko sasa sijui we umeweka kwa minajili gani.usiwe kama nyani kutokuona Ku*n*le lake amua kwa haki.
 
Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,934
2,000
2b313c2aaf9831807600fb92a468218a.jpg
c13b70b92941c7cdf2585a1de718e419.jpg

Huuoni unafiki wako!?halafu upo hapa una-judge unafiki wa wenzako na wewe ulivyomuweka marehemu Ivan akiwa na dollars zake mezani ni ili uonekane na wewe ulikuwa karibu nae ili upate mgao wako sio!mie nimeweka kama ishara ya masikitiko sasa sijui we umeweka kwa minajili gani.usiwe kama nyani kutokuona Ku*n*le lake amua kwa haki.
Hii picha ya ivan mbona ipo hapo kitambo sana kabla hata hajatangulia mbele za khak sasa wewe baada ya huyo mzee wetu kwenda ndo unaleta unafiki wa kumuenz
 
Dragoon

JF-Expert Member
Nov 24, 2013
7,027
2,000
Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu

Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil na nchi nyingine nyingi sana hiyo yote sababu ya kusaka life ile niweze kukamata mkwanja wa maana na kumek good life

Katika nchi zote hizo unafiki na wanafiki ni wachache sana tofaut na hapa kwetu, hapa kwetu kila kiumbe ni mnafiki awe dada au kaka yaan ni unafiki kwa kwenda mbele, kiwe kile chama chetu pendwa ni wanafiki wa kutupwa pamoja na lile chama letu kubwa nalo ni nafiki la kutupwa

Sasa bas sisi wabongo lin tutaacha unafiki ili tuwe kama wenzetu, maana sio kwa unafiki huu tulionao

Nawasilisha
Mnafiki ni yule anayeona maovu na kushindwa kuyaweka bayana pindi anapopata nafasi,
mnafini ni yule anaekaa na gubu mda wote huku moyoni kukiwaka moto kisa kashindwa kusema dukuduku lake,
Mnafiki ni yule anayetaka sapoti kutokwa kwa watu kwamba kitu au mtu fulani hafai badala ya kusimama mwenyewe
mnafini ni yuke aneyeweka posti kama yako
mnafiki ni wewe
 
SHAMAC

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
1,345
2,000
Kwa maoni yangu.... Huu uzi haufiki mbali kwa madogo yanayokurudia... Utaupiga chini mwenyewe..!! Kama una roho ya kiume utauacha...!! Lkn umeshatoa povuu mapema, hufiki mbali umezirai
 
Sir_Mimi

JF-Expert Member
Jun 21, 2013
6,849
2,000
Hii picha ya ivan mbona ipo hapo kitambo sana kabla hata hajatangulia mbele za khak sasa wewe baada ya huyo mzee wetu kwenda ndo unaleta unafiki wa kumuenz
Mie kweli nimeiweka picha ya hayati Ndesamburo akiwa tayari hayupo duniani sikatai maana kujipendekeza huwa sitaki,sasa tuambie tutaamini vipi kwamba hiyo picha uliiweka kabla Ivan hajafariki?una ushahidi wa hilo,pia kama uliiweka marehemu akingali duniani unatuaminisha vipi kwamba haukuwa unafiki wako kuiweka ili kama yupo hapa JF akipita akiiona akusifie ili na wewe ujione mtu ktk watu!pia hadi sasa unatumia picha yake alipokuwa akifurahia maisha ya kidunia una uhakika gani huko aliko anaishi hivyo bado kama sio kumletea unafiki ktk maisha yake ya kaburini?acha unafiki chief itoe hiyo pic muweke hata mzee wako utapata baraka!
 
GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,144
2,000
Aman iwe nanyi waku, kichwa cha habali kinajieleza vizur sana hapo juu

Nimezunguka nchi nyingi sana dunian kama Mozambik, zambia, uganda, kenya, mawali, zimbambwe, kwa madiba, usa, franch, blazil na nchi nyingine nyingi sana hiyo yote sababu ya kusaka life ile niweze kukamata mkwanja wa maana na kumek good life
Hiyo nchi ya MAWALI ambayo nimeiwekea Red inaonekana kuwa muafaka
sana kwa watu wa Pwani maana wanavyopenda huo msosi wote watahamia
huko. Halafu naonekana nchi zote hizi umetembea kwa njia ya Mtandao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom