A ambwilikiti JF-Expert Member Feb 2, 2014 204 59 Jun 9, 2017 #1 Ewura watumbuliwe Kwa kundelea kuwakumbatia IPTL.Mnakumbuka IPTL ndio kampuni iliyotuingizia mamilioni ya ya hasara Kwa kutuuzia Umeme ghali sana.
Ewura watumbuliwe Kwa kundelea kuwakumbatia IPTL.Mnakumbuka IPTL ndio kampuni iliyotuingizia mamilioni ya ya hasara Kwa kutuuzia Umeme ghali sana.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,495 70,618 Jun 9, 2017 #2 Kwa serikali hii sidhani kama watapewa leseni