For da Name of Allah en his Prophet Mohammad (s.a.w)Hakika Jitihada kubwa zimefanyika kuwaokoa watoto hao..Mungu ambariki Franklin Graham pamoja na jopo zima la madaktari waliohakikisha matibabu ya watoto wetu wapendwa..Hakika Mungu pekee atawalipa.
Vilevile Mwenyezi Mungu awapumzishe kwa amani watoto wale wengine pamoja na wafanyakazi wa Lucky vincent waliotangulia mbele za haki.. Amen
Amen..For da Name of Allah en his Prophet Mohammad (s.a.w)
(Amen)..
RIPHivi wewe umeleta hii mada hapa tukueleweje, wakati watoto wetu wameshapumzika. Hebu nawaomba mood toeni hii mada hapa, inatukumbusha majonzi makubwa mioyoni mwetu.
Mkuu kumbuka tunaishi kwa HISTORIA.Hivi wewe umeleta hii mada hapa tukueleweje, wakati watoto wetu wameshapumzika. Hebu nawaomba mood toeni hii mada hapa, inatukumbusha majonzi makubwa mioyoni mwetu.
Ni kweli ndugu yangu ila nahisi maumivu makali bado yapo mioyoni wa kila mzazi, hasa unapoona hizi clip.Mkuu kumbuka tunaishi kwa HISTORIA.
Hatuwezi kwenda mbele pasipo kutazama tulipo toka...!!
Ajali haikuwa nzuri sana kutukumbusha watoto na malaika hawa walivyoumia na kupoteza maisha.
Hakuna ajali nzuri lakini tuwaache malaika wapumzike kwa jamani.