Balozi wa China nchini Dkt. Lu Youqing, ampongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa bajeti nzuri

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,569
9,429
china.jpeg
 
Ishu sio bajeti kua nzuri, ishu iko kwenye utekelezaji. Tunaweza kua na bajeti nzuri ila utekelezaji wake ukawa sio wa kuridhisha hivyo unajikuta dhana nzima ya bajeti kua nzuri inapoteza maana.
 
Bajeti kuwa nzuri ni kitu kimoja na utekelezaji ni kitu kingine, tumeona miaka iliyopita baadhi ya Wizara kama sio zote zilipata 35% ya fedha waliyopangiwa kwenye bajeti
 
Mwanadiplomasia anaweza kukuambia "umeandika vizuri sana", na wewe ukachekelea kusifiwa, kabla ya kutumia maandishi yako kukufunga.

Mchina anafagilia kupata biashara na Tanzania. Kashamaliza kutoa mkopo wa USD 4 billion Kenya hapo kwenye Standard Gauge Railway anaangalia deal za Tanzania.

New York Times article gazeti la leo wameongelea jinsi huu mkopo ulivyo mbaya kwa Kenya, somalink hii hapa

Unategemea mshenga huyu wa mikopo yaki Shylock amwambie Magufuli "Bajeti yako mbaya sana" hata kama mbaya?

Leta manenoya mtu ambaye hana a clear vested interest kama huyo tuone.
 
HapaKazi tu...sasa kuna vilaza wakiotoka mikoa yenye uchumi mbovu kuliko yote nchini wanakwambia Bajeti ni mbaya!
 
Mchina kamsanifu tu ngoja tuanze kutembelea yale magari ya zamani.



Swissme
 
Back
Top Bottom