Ujio wa Chaneli mpya ya Clouds Plus

ESCORT 1

JF-Expert Member
Dec 7, 2015
1,368
2,890
Clouds Media kupitia chaneli mpya ya Clouds Plus, naona Ruge ameamua kuinua industry ya Bongo Movie, hii chaneli imeanza vizuri.

Wanajitahidi kuonyesha Movie za mastaa wakubwa wa Bongo compared to Sinema zetu, hivyo wale mnaopenda filamu za Bongo hasa mabeki tatu mkae mkao wa kula, Clouds plus habari ya mujini!!
 
Azam wafanye sinema zetu waitafutie jambo lingine lenye tija kibiashara kuliko upuuzi wanaofanya sasa, Clouds plus wamemaliza kila kitu kwa wapenzi wa filamu za nyumbani na hakika Bongo Movies wakikubali mabadiliko machache watapendwa nyumbani na wengi kupitia hii. WAPO VIZURI.
 
Back
Top Bottom