Mshuza2
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 11,224
- 17,080
Wakuu..kumekua na ongezeko la mada ambazo kiukweli kwa slogan ya home of great thinker's ni aibu kuwepo..lakini kama tujuavyo shule zimefungwa watoto wanajiachia tu humu..ukakasi umejaa..masikhara yamezidi..matusi ndio usiseme..
Hivyo tuvumiliane wakuu..
Hivyo tuvumiliane wakuu..