Mkuu BAK habari za asubuhi..
Huyu mzee huwa anaenda maeneo ya ndani mno khaaa...ila atakuwa anavuta mpunga mrefu mno
Huwa anagonga msosi wa kila aina...Poa tu Mkuu. Bila shaka Watu8 na vyakula ambavyo amewahi kula katika maeneo hayo vingi vitakuwa ni vyenye ladha nzuri sana.