kijanamtanashati
JF-Expert Member
- Aug 22, 2014
- 516
- 905
Kwanza nianze kwa kusema mimi sio mzawa wa Tanzania, yaani kipindi nikiwa na miaka 8 wazazi wangu walitoka huko walikotoka na kuja kuanzisha makazi yao Tanzania baada ya muda tukapata uraia wa Tanzania. Ukiachana na hayo yote sina tofauti na wazawa wa Tanzania, kwani mpaka sasa najitambulisha kama mzaramo na baadhi ya watu wanaamini hivyo na nadhani naijuwa historia ya wazaramo kuliko wazaramo wenyewe.
Tuachane na hiyo, kitu kilichonipelekea kuandika hapa ni juu ya hawa vijana watanzania. Vijana watanzania wamejaa majungu halafu hawawezi kazi, kazi yao ni kuchekacheka tu ofisini na kushika matak.o wake za watu, ila ikitokea mtu kama mi ambae niko sehemu serikalini wanaanza majungu kwanini huyu yupo hapa wakati sio mtanzania kabisa. Wakati huo huo unaona kabisa akipewa nafasi hawezi angalau kwa dakika tano.
Wanachojua vijana wao unafiki lakini kichwani zero kabisa. Kijana amemaliza degree lakini kichani empty, wapo wapo tu. Wavivu wavivu hata kazi hawajui lakini hapo akitokea mtu( sio mtanzania halisi) akapewa nafasi wanaanza maneno wakati wao sio wafanyaji kazi, wanababaisha. Vijana watanzania mubadilike muache blah blah, wivu na uvivu usiokuwa na misingi!!! Ama sio sisi watanzania wakuja tutazidi kuwaweka kwenye nchi yenu mliozaliwa!!