kukumdogo
JF-Expert Member
- Feb 1, 2011
- 2,867
- 2,754
Napenda kuelimishwa umuhimu wa kusajili namba za Sim. Kwasababu hata ukiibiwa Sim matapel wanaitumia kutapeli watu na ukiriport polisi hakuna kinachoendelea. Wezi wa Sim bado wengi tu na hata makampuni yasim wanakuambia hawana uwezo wa kuwakamata. Sasa faida ikowapi ya kusajili sim?