ndayilagije
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 7,491
- 8,301
Hamjambo?
Niende kwenye hoja moja kwa moja. Sote tunajua ardhi ni mali, kwa Tanzania ni mali ya serikali ingawa naamini zaidi kuwa ni mali ya aliyeiumba.
Kila kitu kinafanyika juu ya ardhi, kuishi, kulima, kufuga nk mwisho tunazikwa humo. Kinachonitatiza ni kuwa ingawa ardhi inapanda thamani kila siku ni mara chache sana kuona mtu ametajirika eti kwa kuuza ardhi.
Isipokuwa kama unauza kilichoko juu ya ardhi kama nyumba au mimea. Je kuna siri gani hapo? Tafadhali kama huna hoja usichangie.