Kumbe ndio maana wahindi wanatudharau sana

Wana akili hiyo bhas..?? Zero brain zilizofeli form 4 ndo zimejazana kwa 90% Unazani wataacha kuvunja mawe kwa vichwa?? akati wenzetu wanachukua Ma genius Jeshini..,,!!

Sisi tunaamini jeshi ni ukakamavu pekee , Nguvu Pipa akili kijiko., wakati dunia inahama huko kuelekea Kwenye nguvu kidogo Akili nyingi ( Technologia)
 
Katika ulimwengu huu tunaoishi...matendo ya wengine dhidi yako vinatokana na wewe unavyoonekana au kujieleza mbele yao....

Tanzania bora tunayoitaka haiwezi kupatikana kwa sisi kulalamika na kuidharau nchi yako kwa kiwango hiki kwa kuwa tu una chuki na mtawala bali kwa kuchukua hatua dhidi ya jali hiyo usiyoipenda kwenye taifa lako.....na sio kuisema vibaya nchi yako ambayo wewe unaishi....

Jukumu la kuileta TANZANIA tunayoitaka ni la kila mmoja wetu....kila mmoja kwa nafasi yake achukue hatua anazoona zinafaa katika kuileta Tanzania mpya....lakini kuitukana na kuidharau kwa kila aiana ya lugha chafu haiwezi kutuletea Tanzania tunayoitaka

Lazima ifikie kipindi tuwajibike kwa hali zetu na sio kulalamika tu, kama ni utawala mbovu basi tufikirie jinsi ya kuuondoa madarakani kama ni changamoto nyingine za kitaifa pia tufikirie jinsi ya kupambana nazo.....Na sio kulalamika tu...

35086ea0210a0a11db138fb45546eba5.jpg
dfabb186fb8cb09188ec320d6d9533a7.jpg
43c629c24c61106356e57bc21f8654ef.jpg
f9b9af3ec3500ff336db32e0c1018f58.jpg
649755ab1b08dce1df082961a447d797.jpg
a314c2ff876e6cd13235a1a7c4b9a269.jpg
 
KikulachoChako, Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
TNZANIA imekosa siasa safi na uongozi bora.
Viongozi wamegeuka miungu, wanataka wananchi tuishi kama mashetani.
Viongozi hawana nia ya dhati ya kulikomboa taifa. Ni aibu waziri wa viwanda kudai ukiwa na vyerehani vinne una miliki kiwanda.
Nchi haina sera za kueleweka za kukuza uchumi.
Wafanyabiashara Wanalia, wakulima Wanalia, wanafunzi Wanalia, wafanyakazi nao WANALIA.
Rais anafurahia mateso ya watu wake, kila mtu anamuona ni mwizi isipokuwa BASHITE na Mrisho Gambo tu.
 
What is division of labour?
Ubunifu wa kutumia rasilimali tulizo nazo,---- kichwa crusher----, thinking kidogo. Nilipokuwa jeshini niliambiwa hapa tumia nguvu, akili acha geitini "kama kawaida ya Jeshi, Mitulinga mingi akili kidogo"! (Ben Kiko)
 
KikulachoChako, Nyerere alisema ili nchi iendelee inahitaji watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
TNZANIA imekosa siasa safi na uongozi bora.
Viongozi wamegeuka miungu, wanataka wananchi tuishi kama mashetani.
Viongozi hawana nia ya dhati ya kulikomboa taifa. Ni aibu waziri wa viwanda kudai ukiwa na vyerehani vinne una miliki kiwanda.
Nchi haina sera za kueleweka za kukuza uchumi.
Wafanyabiashara Wanalia, wakulima Wanalia, wanafunzi Wanalia, wafanyakazi nao WANALIA.
Rais anafurahia mateso ya watu wake, kila mtu anamuona ni mwizi isipokuwa BASHITE na Mrisho Gambo tu.

Umesahau watu mkuu!
Tanzania hakuna watu(wazalendo), siasa safi na utawala bora
 
Back
Top Bottom