Tetesi: Uhakiki Wa Taarifa Za Kibenki Nini Lengo?

UMASIKINI BWANA

JF-Expert Member
Oct 17, 2013
939
1,000
Hi Great Thinkers.Nimesikia Hizo Tetesi Leo Asubuhi Lengo La Uhakiki Huo Kwa Watumishi Ni Nini Na Utaendeshwaje?
 

MfalmewaKiha

JF-Expert Member
Feb 16, 2017
1,034
2,000
Kumbe ni Tetesi!! Leta uzi ulio kamilika, Tetesi mara nyingi zinaandamana na Umbea, matokeo yake wamama watakusuta!
 

Wi_Fi

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
215
250
Uhakiki unahusu majina. Majina yafanane kwenye salary slip ya mtumishi na akaunti ya benk inayopitisha mshahara wake.
 

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,602
2,000
Hili ni jambo la kipumbavu sana na la kupotezeana muda.
Kila mtumishi amehakikiwa, wasafi tumebaki, kila anayelipwa na serikalini ana cheki number.
Hata kama mtu akiamua kujiita nyani benki tatizo liko wapi while ana vyeti halali, si mfanyakazi hewa na analipwa kulingana na cheki namba yake yenye jina lake la kwenye vyeti?
Hii nchi imelaaniwa sana. 2016/17hamna nyongeza ya mishahara, tumevumilia, 2017/18 tena hakuna nyongeza tumekubali , sasa haya mambo ya nini tena?
Gharama za kubadili majina benki au kutengeneza akaunt mpya nani atazilipia?
Usafiri wa kufuatilia hilo nani ataulipia?
Kiongozi wa mahali akiwa mlaaniwa chini yake ni vilio tu.
Wananchi maisha magumu, watumishi ndo usiseme, wafanyabiashara hawako stable
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom