Tukio hili la ujambazi huko Iringa kwa mujibu wa ITV Tanzania (:: Majambazi Wavamia Mgodi Wa Dhahabu Iringa Wajeruhi Na Kupora Fedha Na Dhahabu) linasaidia kutoa maana halisi ya wizi wa dhahabu na...
Kila mtu anaweza kujiuliza haya Maswali ili ujijue zaidi na weka majibu yako utakuwa Inspired wewe mwenyewe kutokana na Majibu yako.
Twende Kazi.....
1.Kama Leo ukipoteza kila kitu ulichonacho...
Wandugu sasa hapa muda muafaka wa kuamua hawa hakuna kuwapa leseni ili mkataba wao na Tanesco uishe automatically, na wale wanaojaribu kulikumbatia IPTL ni sawa na magaidi,kilichomo katika Mkataba...
Hon: Hussein Mohamed Bashe
Amezaliwa tarehe 26/08/1975
Muhitimu wa Bachelor of Business Adminstration in marketing pale mzumbe mwaka 2002.
Bashe kabla ya kuwa member of parliament amewahi kua ...
Maazimio 8 yaliyopitishwa na Bunge kuhusu akaunti ya Tegeta Escrow ( NAWAKUMBUSHA TU )
1 Bwana Harbinder Singh Seth na wengine
Bunge linaazimia kwamba, TAKUKURU, Jeshi la Polisi na Vyombo...
Nimekuwa nikitembelea mitandao mbalimbali ya kijamii lakini kuna jambo linanishangaza kwa watu waliozaliwa mwezi June na wale wa May mwishoni wanaojiita Gemini, why wanajitangaza sana kila mahali...
RATIBA YA WANAUME WA DAR W/KEND
1.Asubuhi-Chai na soseji moja na yai la kuchemsha
Baada ya chai anaangalia tamthiliya ya kifilipino[emoji2][emoji2][emoji2]
2.Mchana-Chips mayai na mayonaiza na...
Mkazi wa Kitongoji cha Kazamoyo, wilayani hapa, Erick Mwarabu (37) ameuawa kwa kupigwa risasi usiku akiwa nyumbani kwake. Watu wa karibu katika eneo hilo wamesema marehemu huyo aliyekuwa askari...
ACT kina nafasi kubwa kujijengea imani kwa jamii na kuweza kushika nafasi nyingi bungeni hatimae kuingia ikulu haijalishi ni lini.
Utulivu ni nguvu kubwa sana ambayo wasomi wengi huipenda kuliko...
Kwanza napongeza manispaa ya Temeke kwa kututengenezea barabara zetu baada ya kuharibiwa vibaya sana na wenye malori.
Naomba wahusika- Mkuu wa Mkoa, Mkuu wa Wilaya na wote wenye mamlaka wapige...
Kundi la watu wanaosadikiwa kuwa majambazi wamevamia mgodi wa dhahabu wa wachimbaji wadogo katika kijiji cha Nyakavangala kilichopo katika tarafa ya Isimani wilayani Iringa na kupora fedha...
Ndugu katika JF,
Mimi si mtaalamu wa MAMBO ya AURA,meditation,supernatural power n.k
lakini nimesoma thread za hayo mambo.
kuna wakati najiuliza je hizo nguvu za asili na maajabu, ninazo ?
pia...
NEWS ALERT!
Mwenyekiti wa Chama Cha Waendesha Pikipiki maarufu kama bodaboda manispaa ya Shinyanga Jacob Paul (36) amejiua kwa kujinyonga kwa kutumia waya wa simu chumbani kwake katika mtaa wa...
Siku za hivi karibuni, ukikutana na brother man anatembea kwa mguu au kapanda daladala, alikuwa anajiwahi kwa kisingizio kuwa gari lake limekamatwa na TRA :rolleyes::rolleyes::rolleyes:.
Sasa...
Wakuu:
Naomba nitoe maoni yangu/mchango wangu kuhusiana na bajeti, hususani kwenye KODI ZA MABANGO kukabihiwa TRA,
KWA maoni yangu, hili ndilo jambo baya zaidi kuwahi kuanywa na serikali toka...
Mchungaji huyu wa KKKT Usharika wa Kigogo amekuwa msaada kubwa sana waathirika wa madawa ya kulevya kwa kuwapa msaada wa mahitaji ya mwili na ya kuroho.
Waathirika wengi wa madawa wengi huwaita...
watu watatu wamefariki wiki hii ktk tukio liliwashangaza watanzania. tukio hilo limetokea ktk kijiji cha nyansincha kata ya nyansincha wilaya ya tarime.
Alianza kufariki mume siku ya...