Maswali Mazuri ya Kujiuliza ?

Facha Don

JF-Expert Member
Oct 27, 2016
353
500
Kila mtu anaweza kujiuliza haya Maswali ili ujijue zaidi na weka majibu yako utakuwa Inspired wewe mwenyewe kutokana na Majibu yako.
Twende Kazi.....

1.Kama Leo ukipoteza kila kitu ulichonacho ni nani? wa kukushika Mkono?

2.Kitu gani kina kukera sana Kazini kwako?

3.Kitu gani Unakiogopa sana kwa Dunia ya sasa Tunakoelekea?

4.Sehemu Gani nzuri unapenda kuishi kabla hujafa?

5.Kama Mtu akichukua Historia yako ya Maisha na kuitengeneza kuwa Movie hiyo Movie Utaipa Jina gani?

6.Kama ukiwa Milionea (Pesa Mchanga ) kitu gani? Kingine utakifanya katika Maisha yako?

7. Kitu gani? Umejifunza na Kikakushangaza sana ?

8.Kuishi Maisha Mazuri kwako kuna Maana gani?

9.Kitu gani? Kinakufanya u stay Positive unapokuwa umepoteza mwelekeo ?

10.Je? Unaweza kujielezea kwa Maneno 5 tu

11.Kama ukipewa Dakika 20 kutoa Speech Dunia nzima inakusikiliza kitu Gani ? Utawaasa watu au kuwashauri?

12.Ukipata Nafasi ya kuitwa Ikulu na Ukapewa nafasi ya kuongea na Raisi utaongea nin?


Thanxx
Wikend Njema
This is me.....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom