steve_shemej
JF-Expert Member
- Nov 26, 2015
- 1,171
- 1,580
Katika kujifikilia nimegundua kuna vitu vya ujanja ujanja na kujishtukia
kma hawa jamaa hawajasajiliwa miaka yote vyombo husika vilikuwa wapi..? pia walikuwa wanalipa kodi kidogo walikuwa wanalipa kma nani..? walikuwa wanasafilisha mchanga kma akina nani
.? pia hiyo.kodi kiduchu alilipwa nani..?
nlicho gundua hapa nikama kisa cha manji kuwa diwani alafu syo.mtanzania na hana vibari wakati ana makampun nchini
issue nliyo iona hapa selikali imeona hainufaiki na ACACIA na wamejua wakivunja mkataba watapata hasara njia waliyo tumia ni kusema hawa jmaa ni kampuni hewa ili wajisajili upya ili mkataba uanze upya.. hakuna jipya apa