Ocenicbay
Senior Member
- Apr 9, 2017
- 103
- 121
Baada ya Jana kusomwa ripoti ya pili,uchunguzi wa madini.Viongozi mbalimbali (C.C.M)wameibuka na kutoa kauli za kumpongeza Rais,na kusahau kuwa haohao ndio walitoa pongezi kabla na baada ya hiyo mikataba kusainiwa,Kwa kweli ni aibu kwa nchi kuwa na viongozi wa aina hii."