Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Maisha ni safari ndefu na katika maisha huwa kuna changamoto nyingi na tofauti zinazotukuta.
Siku ya leo ningependa kufahamu hivi changamoto gani unazokutana nazo pale unapokutana na marafiki zako wa karibu ambao wamefanikiwa katika maisha kuliko wewe.
Hapa nina maana wale marafiki ambao mlisoma wote, mlicheza wote utotoni, mlikuwa pamoja nk.
Leo hii ukikutana nao wana maisha mazuri na wamefanikiwa kuliko hivi unadhani changamoto gani ukikutana nao kuna wengine wana tabia za;
1.Kuwakimbia wakionana nao.
2.Wengine tunawapiga vibomu.
3.Wengine tunawaelezea shida zetu mfano shida ya ajira.
4.Wengine huwa tunajificha tukiwaona maana tunaona kama tunadhalilika.
5.Wengine huwa wanajikausha wanajifanya kama hatuwaoni.
6.Eengine tunawapita barabarani kama hatuwajui coz unakuta class ulikuwa wewe ndo ulikuwa kichwa lakini yule uliyekuwa unamuona kilaza ndio ana mafanikio kuliko wewe.
Mimi upande nikionana nao nasalimia nao hivo hivo kwa shingo upande japo sometimes huwa natamani kujificha.