Mzee wa hat-trick
JF-Expert Member
- Nov 21, 2016
- 1,730
- 2,388
Wakuu,
Kama kweli mheshimiwa JPM anataka kuifuatilia hii ishu na kutaka kila aliyehusika kwa njia moja au nyingine anawekwa katika mikono ya sheria, haya makinikia, hayatawaacha watu salama.
Kitakachotokea hapa, ni kutupiana kijiti na mwisho wa siku usiyependa aguswe, ataguswa. Na atakapoguswa DOUBLE STANDARD lazima itahusika. Na mbaya zaidi wengi sana wapo hai.
KUANZA UPYA SI UJINGA, tulishaibiwa sana. JPM angeanza upya kuijenga Tanzania, kuliko kufukua makaburi ukakutana na mtu either asiyemtarajia, au alimtarajia ila akajikuta hana jinsi ya kumlinda.