Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,583
- 35,122
Habari wana jf!
Awali ya yote nimenunua luku jana (kwa airtel money) kwa bahati mbaya nikafuta sms kabla sijaiweka!
Nimejaribu kupiga 100 lakini sijafanikiwa kumpata mtoa huduma wa airtel walau anipe mwongozo ni jinsi gani nitaipata hiyo sms ya luku!!
Je nitawezaje kuwapata hawa watoa huduma wa airtel money??
Je nitawezaje kuipata sms niliyoifuta?
NB: Situmii smartphone!!