Kumbe Acacia hata licence hawana,sasa mahakama gani ya dunia itasikiliza hawa wahuni?

MakinikiA

JF-Expert Member
Jun 7, 2017
5,104
6,821
Hapa nampongeza Mr Presidaaa
Kwa kuwa interested na kazi hii ya kupambana na majizi ya Uchumi wetu,kwa hiyo hata wakishitaki huko nje ya nchi,hii kesi tutawashinda asubuhi mapema, mfano unaendesha gari harafu lijamaa linakugonga kwa nyuma, unamwambia tupige tasimini tulipane yeye anakuambia muende police na huku hana leseni.
 
Hao ni wahuni tu,Niko pamoja na Mh raisi
617737c7b18fcabbb07eee83c4349caf.jpg
 
Ukisikiliza kesi ya yapande moja utahukumu pande moja ngoja wenyewe waje tusifanye siri wakat wakuwalipa fidia tuite vyombo vya habar
 
Kwahiyo kwenye soko la hisa la dar es salaam huwa yanaingia makampuni ambayo hayajasajiliwa...? Ccm wanajitekenya then wanacheka wenyewe
 
Yaan hawa acacia ni mboga yetu inayo tufaa kwa ugali tulio nao tutamla taratibu had akae sawa ..naona wanatoa vyeti adi wanasahau wanatoa vyeti alivyo acha barrick ..watatoa had vyeti vya kifo
 
na tra walikuwa wanachukua kodi bila tin no. kama ni hivyo basi acacia ni kampuni hewa haipo kabisa leseni tma sijui napo hamna hata makontena yaliyokamatwa ni hewa
 
Yaan hawa acacia ni mboga yetu inayo tufaa kwa ugali tulio nao tutamla taratibu had akae sawa ..naona wanatoa vyeti adi wanasahau wanatoa vyeti alivyo acha barrick ..watatoa had vyeti vya kifo
Soma post namba 9.
 
Hahaaa kwa kufuata hiyo attachment walianza mchakato wa kusajili kampun wakat kamati ikiwa kazini, sphincter zinaachia huko
 
Hapa nampongeza Mr Presidaaa
Kwa kuwa interested na kazi hii ya kupambana na majizi ya Uchumi wetu,kwa hiyo hata wakishitaki huko nje ya nchi,hii kesi tutawashinda asubuhi mapema, mfano unaendesha gari harafu lijamaa linakugonga kwa nyuma, unamwambia tupige tasimini tulipane yeye anakuambia muende police na huku hana leseni.
Hapo wamegonga mwamba,wakae tu na serikali waeleze watalipa vipi Trilioni 55 zetu
 
Mijitu yenyewe haina leseni kumbe, ni kama tumegongana na dereva asiye na leseni, automatically he is at fault
 
Back
Top Bottom