mzee wa giningi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 519
- 336
Security manager wa mgodi wa North Mara gold mine ambao upo chini ya ACACIA amefungua kampuni yake ya walinzi kutoka nje ya nchi wazungu Hawa ni walinzi mgodini hapa hawana kibali cha kufanya kazi hapa Tanzania kampuni hiyo inaitwa ASSEYE security, wanawapelekesha wafanyakazi wa kitanzania na kuwafukuzisha kazi Bila utaratibu ili huyu security manager ambaye anaitwa Heaney alete wazungu wenzake wafanye kazi kinyume na Sheria.
Naiomba serikali yetu sikivu kuwafukuza Hawa wazungu wanaofanya kazi bila kibali na hii kampuni ya Asseye security haijasajiliwa kisheria lakini inafanya kazi.
OCD Nyamwaga, Tarime anashirikiana na security manager huyu kuleta wazungu kinyume cha sheria zetu na security manager huyu ananyanyasa watanzania wanaofanya kazi kwenye mgodini huo kwa kuwafukuza kazi bila sababu yeyote.